kwamamaza 7

Wanaotuhumiwa ni  FDLR wamjeruhi mkazi wilayani Rubavu baada ya kupiga risasi nyingi

0

Watu wenye silaha  wanaotuhumiwa kuwa ni wanamgambo wa FDLR wamemjeruhi mno mkazi na kuuwa ngombe wake wawili tarafani Busasamana,wilayani Rubavu,magharibi mwa nchi.

Mmoja mwa wakazi wa tarafa hii,ametangazia Ukwezi kuwa jumamosi walisikia risasi nyingi zikipigwa kutoka saa tatu na nusu  hadi saa sita usiku jumamosi wiki iliyopita.

Inatuhumiwa kwamba hawa walikuwa wakilenga kumuua huyu mkazi na kuharibu usalama wa nchi.

Msemaji wa jeshi la Rwanda,Luteni Kanuni Innocent Munyengango amehakikisha taarifa hizi ila hakujambulika nani waliofanya hili

[xyz-ihs snippet=”google”]

Amendelea kusema kwamba wakazi wa tarafa ya Busasamana wanastahili kutulia kwa kuwa hili ni jambo dogo.

Tarafa ya Busasamana ingali karibu na mpaka wa DR Congo ambako inasemekana kuwa wanaishi wanamgambo wa FDLR.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.