HABARI MPYA

Wanachama wa FDU-Inkingi waomba kutofungwa muda kizuizini

Wanachama nane wa chama cha FDU-Inkingi ambacho hakijasajiliwa wameomba mahakama kuu kuwachia huru wakati ambapo kesi yao inaendelea.

Mahakamani watuhumiwa wameleza kuwa wanataka kupiga rufaa ya uamuzi wa kwanza.

Pia,wanasheria wao Me Gatera Gashabana na Me Antoinette Mukamusoni wamesema kuwa wanahitaji muda wa kutosha ili wapige rufaa.

Mwendeshamashtaka amependekeza kufungwa watuhumiwa muda kizuizini kwa kuwa uhalifu wao wa kushirikiana na wanamgambo.

Hawa wanatuhumiwa kushilikiana na kundi la wanamgambo nchini DR Congo kwa jina la P5.

Kesi hii imehairishwa na itaendelea jumatatu,wiki ijao.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top