kwamamaza 7

Wafungwa 788 kuachiwa huru nchini Rwanda

0

Rwanda imeamua kuwachia huru wafungwa 788 kutoka magereza mbalimbali nchini kote.

Hili ni moja mwa uamuzi wa mkutano wa baraza la mawaziri jana tarehe 7 Juni uliongozwa na Rais Paul Kagame.

Pia askari polisi  101 wamefukuzwa kazini na wengine 147 bila kujulishwa. Pengine mawada.

Mkutano huu umeamua bajeti ya mwaka ujao kuwa itakuwa 2,876, 916,340, 789 Rwf.

Mwaka uliopita, Rwanda iliwachia huru wafungwa wengine 2000 wakiwemo mwanasiasa wa upinzani, Ingabire Victoire kwa huruma ya Rais Kagame.

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.