kwamamaza 7

Wafuasi waishangilia picha yake muimbaji The Ben

0

Wafuasi wa muimbaji kutoka Rwanda The Ben wameishangilia picha yake aliyoyipost kwenye instagram akiwa pamoja na gari la kifahari kwa jina la  Chevrolet.

Kwa hili,Mugisha Benjamin maarufu kama The Ben amewasababisha wafuasi wake kwenye huu mtandao kutangaza mengi ya kumsifu kama vile utanashati na umaarufu wake katika muziki wa Rwanda.

Picha yake The Ben

Mmoja kwa jina la  Manzi Dimpoz ameandika”Mala nyingi sina la kuongea kuhusu wewe,nina mengi ila jambo moja ni ufundi”

“Unajua unayoyafanya kabsa”ameongeza

Wengine wamemuandikia wakimtaka kurudi Kigali.

The Ben anaishi nchini Marekani tangu miaka iliyopita ila anaendelea kufanya muziki katika lugha ya Kinyarwanda pia na kushirikiana na waimbaji wengine katika eneo  la Afrika Mashariki kama vile Sheebah Karungi  kutoka Uganda.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.