HABARI

Uzinzi ni uhalifu hata kama mmoja anampa msamaha mwenzake-Waziri Busingye

Waziri wa wizara ya haki(MINIJUST),Busingye Johnston ameweka wazi kuwa jumatano kulikuwa maandalizi bungeni ya sheria  ambazo zitakuwa nzito kwa kuadhibu vitendo vya uzinzi.

Waziri Busingye ametangazia The NewTimes kwamba uzinzi utaendelea kuwa uhalifu unaoadhibiwa kulingana na sheria kama vile kufungwa jela licha ya kuwa mwanamke ama mwanamume amempa msamaha mwenzake aliyefanya uhalifu huu.

Waziri Busingye ameleza kwamba jambo hili limetilia mkazo  kwa kulinda familia kama kiini cha jamii na nchi.

Mala nyingine wanawake wanalazimishwa kutoa msamaha,hili halitazuia kesi kuendelea(…)”amesema waziri Busingye.

Pamoja na hayo,sheria zilikuwa zikikubali kuwa mmoja anaweza kumsamehe aliyefanya uzinzi kwa hiyo kesi ikahairishwa.

Haya ni baada ya malalamishi mengi ya waliofunga ndoa kwamba uzinzi umeshamiri sana na kuwa chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika nchini Rwanda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top