HABARI MPYA

USA:Rais Kagame afafanua alivyo shinda uchaguzi kwa kiwango cha juu

Rais Paul Kagame kupitia mazungumzo na baraza la marekani la mambo ya nje ameleza alivyo shinda uchaguzi kwa kiwango cha juu.

Rais wa Rwanda,Paul Kagame

Katika mazungumzo kwa jina la’Conversation with Kagame’yaani mazungumzo na Kagame rais Kagame amefafanua kwamba ushindi wake wa kiwango cha juu ulilingana na idadi ya Wanyarwanda miliyoni nne waliowasilisha hati zao bungeni wakiomba mabadiliko ya katiba,uhuru wa kampeni za uchaguzi.

Ukitaka waweza kuangalia historia ya Rwanda wakati wa miaka 23, Rwanda inahitaji kuendelea na ushirikiano kati ya raia wake”amesema Rais Kagame.

Pia,Rais Kagame ameongeza kwamba kila nchi lazima iwe na demokrasia yake peke kulingana na maombi ya raia.

Wakazi hawawezi kuwa huru wanapoiga demokrasia ya raia wengine”ameongeza Rais Kagame.

Rais Kagame alishinda uchaguzi wa rais nchini Rwanda kwa kura 98.76%, ataongoza mamlaka yenye miaka saba hadi 2024.

Rais Paul Kagame alikuwa rais wa Rwanda kuanzia mwaka 2003

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top