kwamamaza 7

Urembo wa Wanyarwanda wazua gumzo mitandaoni nchini Senegal

0

Urembo wa Wanyarwanda umezua gumzo mitandaoni nchini Senegal kwa kutaka kutambua nchi gani yenye warembo zaidi ya hizi nchi mbili.

Maoni ya wengi yameonekana katika kundi la Facebook maharufu nchini humo kwa jina la T’es De Dakar Si’.

Upande wa wanaumwe wamesema Wanyarwanda ni warembo zaidi ya wanawake wa Senegal.

Kwa upande wa wanawake nchini humo wameandika “ Hatuwezi kuwa na wivu juu ya wanawake kutoka Rwanda.”

Mnyarwanda aliyezuwa gumzo mitandaoni nchini Senegal kwa urembo wake

Inajuliakana kwamaba Rwanda ina wanawake warembo barani Afrika. Hata hivyo, hakuna utafiti uliofanywa kuhusu jambo hili.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.