HABARI MPYA

UN haina budi kuheshimu sawa washiriki wake-Rais Kagame

Rais Paul Kagame akihotubia washiriki wa mkutano wa 77 ya Umoja wa Mataifa inapaswa kuheshimu washiriki wake sawa bila kuegamia upande mmoja.

Katika hotuba yake,Rais Kagame ametangaza kwamba Rwanda imefurahia kuwa baadhi ya nchi zitakazotoa mchango ili kubadilisha mfumo wa kazi za umoja wa mataifa na Umoja wa Afrika.

Pia,Rais Kagame amemshukuru katibu mtendaji wa Umoja wa mataifa,Mhe.Antonio Guterez kwa kuanzisha madaliliko katika Umoja wa Mataifa yatakayowezesha shilika hili kufanya kazi zake vilivyo.

Rais Kagame amehamasisha nchi kutilia mkazo mambo ya umoja na kupambana kwa ajili ya mema kwa vizazi vya siku zijazo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top