HABARI

Ujerumani:Mashoga wafunga ndoa rasmi kwa mala ya kwanza

Wajerumani Karl Kreile na Bodo Mende wamefunga ndoa baada ya miaka 38 katika mapenzi.

Kreile na Mendi kwenye wakibusiana kwenye siku ya harusi

Sherehe hii imetokea Schoneberg,mjini Berlin kwenye siku ya kwanza serikali kuwakubali kufunga ndoa  watu wa jinsia moja.

Karl(kushoto) na mwenzake Bodo Mende

Haya ni kuwapatia mashoga haki sawa na za wenzao waliofunga ndoa wakiwa mwanamke na mwanamume.

Mashoga wanakubaliwa   baada ya Rais Angela Merkel mwezi juni kukubali sheria husika na wanaofunga ndoa wa jinsia moja.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top