HABARI MPYA

Uingereza:Rais Kagame atuzwa kwa kuunga mkono utalii

Rais Kagame amepata tuzo kulingana na bidii zake za kueneza utalii na uekezaji katika mambo husika na maendeleo ya utalii.

Rais Kagame amepatiwa tuzo hili mjini London,Uingereza jana alikohudhuria mkutano wa ‘World Travel Market’.

Katika hotuba yake,kwa niaba ya Wanyarwanda,Rais Kagame ameshukuru waliompa tuzo hii na kuongeza kwamba hii ni motisha kwake ya kuongeza nguvu.

Rais Kagame amendelea kwa kusema kwamba Rwanda ina imani ya kushirirkiana na nchi nyingine za ulimwengu na kuwa Rwanda ilifanya liwezekanalo kulinda mazingira,kujenga miundo mbinu ili kurahishia wageni na wakazi.

Pamoja na haya,utalii ni baadhi ya sekta za nchi ambazo huingiza fedha nyingi kulingana na na takwimu za mwaka 2010 zinaonyesha kuwa Rwanda ilipata $ 200 na kuna lengo kwamba fedha hizi zitaongezeka mwaka 2024 kiasi cha miliyoni $800.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top