HABARI MPYA

Uhindi:Mwanafunzi wa chuo,raia wa Rwanda akamatwa na polisi

Polisi ya eneo la Kothanur kimetangaza kuwakamata wanafunzi wa chuo, watatu wakiwemo Mnyarwanda mmoja,Frederick Kayitare baada ya kuwakuta wakimiliki bangi.

Kwa mjibu wa taarifa za The New Indian Express,wengine ni Neeraj Ramakrishna  24, Shailesh Bhushan  23.

Polisi imeleza  kuwa wawili asili ya Andra Pradesh walikuwa wamemletea Frederick kilo 3,2 za bangi ili kuuza.

Kuna taarifa kwamba Frederick alikuwa akiwasaidia wenzake kuuza bangi na kuwa polisi imekamata rununu itakayosaidia kujua kama hawa hawana uhsiano na makundi mengine ya wacuuzi wa bangi.

Waliokamatwa wamefungwa ili kuhojiwa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top