kwamamaza 7

Uganda: Wafanyabiashara asili ya Rwanda warudishwa kwao

0

Wanyarwanda waliokuwa wakifanyia biashara zao karibu na mpaka  kwa upande wa Uganda walirudishwa kwao wiki iliyopita.

Chombo cha habari PM Daily kimetangaza hili bi baada ya Rwanda kuamrisha kurudi nchini kwo wakati wa siku kumi na wataondolewa haki yao ya uraia.

Kwa upande wa mpaka wa Cyanika, kuna taarifa kwamba wafanyabiashara 20 walirudi nchini Rwanda kama ilivyohakikishwa na kiongozi wa  ngazi za chini, Busingye Jeninah.

Mkurugenzi wa Wafanyabiashara huko, Geoffrey Nombe ameeleza hizi taarifa zilitolewa.

Kwa upande wa Rwanda, Makamu Waziri kwa Wajibu Shilika la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Olivier Nduhungirehe ameambia Bwiza.com taarifa hizi ni fununu.

“ Tetesi, haiwezekani mtu kuondolewa uraia kwani ni haki inayotolewa na katiba.”

Hayo yanafuata ushirikiano ovyo kati ya Rwanda na Uganda tangu miaka miwili iliyopita.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.