kwamamaza 7

Uganda- Rwanda: Wakazi karibu na mpaka waishi kwa hofu

0

Wananchi karibu na mpaka kwa upande wa Rwanda wametangaza kuishi kwa  hofu kutokana na hali ya mambo kati ya  Rwanda na Uganda.

Viongozi wa ngazi za chini, wametangazia Gazeti la Daily Monitor kwamba wakazi hawalali hata nyumbani kutokana na ushirikiano ovyo kati ya hizi nchi mbili.

Viongozi wa maeneo ya  Kamwezi, Maziba, Butanda, na Katuna wiki iliyopita kila mmoja alisema kuwa kuna wasiwasi.

Jackson Maganizi, Kiongozi eneo la Rukiga ameiomba serikali kuwapeleka wanajeshi na polisi huko kwa wingi.

Wengi mwa hawa viongozi wamesisitiza kuna hofu na wakazi wanataka kukimbilia mahali kwingine.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.