HABARI

Uganda imebadilisha balozi wake Rwanda

Rais wa Uganda Yoweri kaguta Museveni amemteua bi Oliver Wonekha kuwa balozi mpya wa nchi hio Rwanda akichukuwa nafasi ya Richard Kabonero.

Ratiba ambayo husubiriwa kuhakikishwa na mabunge husema kuwa Rais Museveni amebalisha mabalozi na wanadiplomasia wa Uganda katika nchi tofauti.

Balozi Richard Kabonero amehamishiwa Tanzania, Wonekha Oliver ambaye alikuwa balozi Marekani ndiye ambaye amechukua nafasi ya balozi Kabonero kama vile husema The New Vision.

Balozi Richard Kabonero aliifanya miaka 11 akiwa balozi Rwanda, alikuwa mwanadiplomasia wa Uganda mwaka wa 1990, akawa balozi Kenya 1990-1994, alifanya pia kazi katika ubalozi wa Uganda huko Marekani tangu 1994 hadi 2005.

Rwanda na Uganda wapo na uhusiano mwema, kwa hayo raia wa nchi zote mbili huvuka mipaka wakitumia kitambulisho ya msingi (ID).

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top