HABARI MPYA

“Tungependa serikali ya Rwanda kumuacha huru Diane Rwigara bila kusita”PSM

Shirika la People Salvation Movement (PSM-Itabaza) aliloliunda mwenyewe Diane Shima Rwigara limeomba serikali ya Rwanda kumuacha huru Diane Rwigara kwa kuwa angali gerezani.

Tangazo la PSM-Itabaza kwenye facebook

Kulingana na kiongozi wa PSM kwa wajibu wa utangazaji,Raymond Kayitare kupitia tangazo linalihusu viombo vya habari kwenye facebook jana kunaonekana ombi la shiriki hili.

Washiriki wamesema kuwa lengo lake Diane Rwigara kuliunda shirika hili ni lengo la kupitisha mawazo yake baada ya serikali ya Rwanda kutaka yeye akae kimya.

Pamoja na hayo,Polisi ya Rwanda juma tano hii imetangaza kuwa inafanya upelelezi unaomhusu kwa ukwepaji wa kodi miliyoni $ 6.7 na kukana kuwa yupo gerezani.

Haya ni baada yake Tume ya nchi ya uchaguzi kuondoa jina lake kwenye orodha ya wagombea wa urais kwa kumshtaki uongo katika hati rasmi zake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top