HABARI

Kenya:Tume ya uchaguzi kutangaza matokeo ya uchaguzi leo

Tume ya IEBC imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais saa tisa unusu leo alasiri.

IEBC inatarajiwa kutangaza hatima ya uchaguzi katika majimbo manne magharibi mwa nchi hiyo ambayo uchaguzi ulivurugika

Mgombea wa upinzani Raila Odinga alisusia uchaguzi huo na amesema hayuko tayari kustaafu

Idadi ya walioshiriki uchaguzi huo kwakwa mujibu wa matokeo ya maeneo bunge 251 kati ya 291 ni 7,447,014 sawa na asilimia 43.04.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top