kwamamaza 7

Trump na Merkel waingia katika vita baridi

0

Rais wa marekani,  Donald Trump amekuwa akijibizana na Waziri Mkuu  ngazi za wa  Ujerumani,  Angela Merkel dhidi ya mabavu na uwekezaji mkubwa katika mambo ya kujilinda, majibizano ambayo yamejiri katika mkutano wa NATO.

Rais wa Marekani  Donald  Trump ametangaza kutokubaliana na jinsi Ujerumani unavyoendeshwa na Urusi kwa kuwa ujerumani iliingiza gesi nyingi kutoka Urusi hivi akiongeza kuwa ni  tukio baya kwa NATO.

Aidha katika kujibu hilo, Kiongozi kutoka Ujerumani  Dorothea Merkel amemkosoa vikali Rais Trump hivi akitangaza kuwa Ujerumani ni nchi  huru na kuongeza kuwa nchi yake iko tayari kuchangia kikamilifu katika muungano wa NATO.

Mikutano ya awali kati ya Trump na Merkel ilijitokeza migogoro kutokana na hoja za kila upande.

Hata hivyo, viongozi hawa wawili wanatarajiwa kukutana tena nchini Ubelgiji mjini Brussel, mkutano ambao utajiri  jumatano  ijayo.

Licha ya mkutano huo wa brussel, Rais Trump amehuzunika sana ila tu huenda vita vya maneno kati yake na Merkel vikaathiri mkutano wake wa mara ya kwanza na vradmir Putin,mkutano ambao utatangulia huko  mjini Brussel.

Sauveur Mukiza/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.