kwamamaza 7

The Standard yatangaza Rais Museveni awaunga mkono wapinzani wa Rwanda

0

Chombo cha habari nchini Kenya ‘The Standard’ kimeweka wazi Rais wa Uganda, Yoweli Museveni anaungana mkono na wapinzani wa serikali hususani Dk. David Himbara kupitia simu.

Taarifa za The Standard ni kwamba Rais Museveni  aliongea na Himbara  kupitia simu na kumshukuru  kwa maandishi yake yanayompendeza anayowasilisha kupitia Facebook na ‘blog’ zinazopinga serikali ya Rwanda.

Hata hivyo, hiki chombo cha habari hakikutangaza sauti ya Rais Museveni akizungumza na Dk. Himbara.

Dk. Himbara anajulikana kama mwandishi wa vitabu na mhenga wa mambo ya uchumi. Alikuwa mshauri wa ikulu kwa mambo ya uchumi kabla ya kukimbia utawala wa Rwanda.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.