kwamamaza 7

Soko lateketezwa na moto mjini Kigali

0

Soko la Kabuga Mjini Kigali limechomwa asubuhi hii

Wafanyabiashara wametangazia Umuseke.rw kuwa ni juu ya nyaya za umeme.

Polisi wamfanya lolote kuzima moto huo kutumia magari ya kisasa.

Kwa sasa, haijahesabiwa mali iliyoharibika kutokana na kuwa moshi hauajayoyoma. Ila kunaonekana nyuma na gari moja la aina ya Daihatsu ambalo limeaka moto.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.