Kocha wa Rayon Sports Ivan Minaert ametangaza hajafurahishwa na matokeo ya timu yake baada ya kutoka sare tasa na Young Africans nchini Tanzania kwenye mchezo wa Kombe la la Shirikisho Afrika CAF.

Kocha Minaert ametangazia vyombo vya habari kuwa timu ya Rayon Sports imecheza vizuri hata kama haikupata ushindi dhidi ya Young Africans.

“Ndiyo,sijafurahishwa na matokeo nafikiri tulicheza vizuri na tulistahili kupata ushindi”

Minaert ameongeza anajua Gor Mahia na Yanga ni timu kubwa kuliko yake lakini hakuna woga wowote.

“Toka mwanzo nilikuwa najua Young ni kubwa kuliko sisi,Gor Mahia ni kubwa pia kuliko sisi lakini haimaanishi tuogope leo tumethibitisha kuwa tunaweza kupambana nao”ameongeza.

Kocha Minaert ametangaza haya wakati ambapo huu ni mchezo wa pili timu yake tukota sare.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.