kwamamaza 7

Sherti Wajane waishi maisha ya kujiheshimu

0

Wajane wametakiwa kuishi maisha ya kujiheshimu kwa muda wote hadi watakapojaliwa kuolewa kuliko kuishi maisha yaliyotawaliwa na tamaa za kimwili.

“Ni mjane mwenye heri yule atakayeamua kuolewa kuliko kuishi maisha ya kuweka tamaa ndani ya ujane”, kama vile kitabu cha 1Timotheo 5:9.

Alisisitiza kuwa ni vyema kwa mjane kuwa na maombi kwani maombi ya mjane hayana vipingamizi mbele za Mungu.

Aliwataka kuishi maisha ya kumtumikia Mungu pasipo kuangalia hali zao za maisha ya ujane na kwamba wasiyawazie maisha ya awali ya ndoa zao.

Chunguzeni mfano wa mjane wa Sarepta ambapo alisema kuwa mama huyo alimhudumia Nabii Eliya na alifanya hivyo pasipo kuangalia udogo wa mali zake ndipo Mungu akamfungulia milango ya baraka.

Sifa za mjane ni kusaidia wenye shida katika jamii akibahatika tena kuolewa awe mke wa mume mmoja na pia mjane ni lazima ashuhudiwe kuwa na matendo mema.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.