HABARI MPYA

Serikali ya Rwanda haikubaliani na baraza la Umoja wa Mataifa la kupambana na utesaji

Serikali ya Rwanda imeweka wazi kutokubali ombi la baraza la Umoja wa Mataifa la kupambana na utesaji linaloiomba kutia nguvu jambo la kupambana na utesaji.

Haya ni uamuzi wa baraza hii baada ya kukataliwa kutembelea Rwanda Octoba 2017.

Pia,baraza hili liemitaka serikali ya Rwanda kumsikiliza mtu yeyote anayesema kuwa amefanyiwa utesaji kumuona daktari na uhuru wa kupata mwanasheria.

Taarifa za RFI zinasema kwamba baraza hili limeitaka serikali ya Rwanda kukoma kuwafunga wanasiasa wapinzani,watangazaji na mafisa wa asasi za kiraia.

Haya ni baada ya shilika la kutetea haki za binadamu,HRW kutia hadharani ripoti isemayo kuwa wanajeshi wa Rwanda kuwatesa kimwili wafungwa,ripoti ambayo serikali ya Rwanda ilikanusha mno kwa kusema kuwa  yaliyomo ni uongo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top