HABARI MPYA

Serikali itaendelea kutoa elimu kwa watu wote-Waziri mkuu

Waziri mkuu wa Rwanda,Edouard Ngirente ameleza kuwa kila raia wa Rwanda anastahili kupata elimu kulingana na mpango wa serikali.

Kwenye hotuba yake bungeni,Waziri mkuu leo amesisitiza kwamba elimu ingali baadhi ya misingi  muhimu ya serikali 2017-20124.

Pia amesema kuwa siasa ya elimu ya serikali ya Rwanda inasisitiza viini vitatu vikiwemo elimu kwa watu wote,elimu yenye ubora na yenye umuhimu kwenye soko la kazi.

Waziri ametangaza haya wakati ambapo kunasemekana masuala mengi yanayohusiana na ubora wa elimu kuanzia shule za msingi hadi chuoni.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top