BURURUDANI

Safi Madiba auonyesha tena upendo wake kwa timu ya Rayon Sports

Muimbaji Safi Niyibikora maarufu kama Safi Madiba ameonyesha anavyopenda timu ya Rayon Sports baada ya kuonekana akishuhudia dimbani  la Amahoro mjini Kigali kwenye mchezo ambao hii timu imetoka sare dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Akikaa siti za VIP,Safi Madiba akitoa hoja kuhusu huu mchezo ameeleza kuwa Rayon Sports ilikuwa ikicheza vizuri sana na kuwa anaamini kwamba Rayon Sports itafanya vizuri dhidi ya Mamelodi Sundowns

Madiba amesema”Timu ya Mamelodi ni ngumu lakini Rayon Sports ni ngumu pia.Kuna imaani kwamba timu yetu itafanya vizuri”Madiba amesema

Safi Madiba ni mmoja mwa waimbaji waliofichua hisia zao kuhusu timu wanazozipenda nchini Rwanda kinyume na wengine ambao hukwepa kujibu kuhusu suala hili.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top