HABARI MPYA

Rwanda:Waziri mkuu Dr.Edouard Ngirente aanza kazi yake rasmi

Waziri mkuu mpya Dr.Edouard Ngirente ameanza kazi yake rasmi baada yake waziri wa zamani,Anastase Murekezi kukabidhi.

Anastase Murekezi akikabidhi na waziri mkuu,Dr.Edouard Ngirente

Wengine waliokabidhi ni  Odette Uwamariya kwa Sayinzoga Kampeta kwenye nafasi ya mkurugenzi wa baraza la mawaziri.

Kisha amekabidhi Stella Ford Mugabo kwa Marie Solange Kayisire kwenye nafasi ya waziri kwenye ofisi ya waziri mkuu kwa wajibu wa kazi za baraza la mawaziri.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top