HABARI MPYA

Rwanda:Waziri mkuu akaribisha kundi la wafanyakazi wa IMF

Waziri mkuu Edouard Ngirente amekaribisha kundi la wafanyakazi wa’ International Monetary Fund’ wakiwemo mkurugenzi wake,Abebe Selassie.

Hawa wametangaza kuwa wamekuja nchini Rwanda ili kuiga mambo mbalimbali hasa  siasa ya usawa wa Wanyarwanda.

Kiongozi wa IMF Selassie amesema kwamba wanafurahia hatua ya maendeleo husika na uchumi baadhi ya nchi za jangawa la Sahara.

Wafanyakazi wa IMF wanatarajiwa kuzungumza na viongozi mbalimbali wa nchi wakati wa ziara yao ya siku  tatu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top