HABARI MPYA

Rwanda:Watangazaji wafyata mkia juu ya kanuni inayojadiliwa bungeni husika na kuadhibu kashfa

Watangazaji wameweka wazi kuwa na woga wa adhabu za kanuni husika na kashfa inayojadiliwa bungeni kwa kusema kuwa inapendekeza adhabu kali mno.

Baadhi yao wametangazia The New Times kwamba kumfunga mwenye hatia ya kashfa kumfunga juu ya miaka miwili na kutozidi miaka mitatu pamoja na faini ya isiyo chini ya frw miliyoni 3 na kutozidi frw miliyoni tatu kulingana na makala 169 ni kama kuwababaisha na kutia vizuizi katika kazi yao.

Mmoja wao amesema”Hatukujua wala hatukuulizwa kama watu husika na pendekezo la kanuni hii”.

Katibu mtendaji wa shilika la watangazaji nchini(ARJ),Gonzaga Muganwa ameleza kuwa kanuni hii itakapokubaliwa itaharibu utangazaji huru.

Pengine, mtafiti na mwanasheria ,Thierry Kevin Gatete ameleza kuwa kanuni hii inalenga kuwalinda mafisa wa serikali  kukosolewa na umma.

Pendekezo la kanuni ya kuadhibu kashfa imetolewa wakati ambapo kuna kanuni ya kawaida ya kuadhibu uhalifu huu kwenye makala yake 288 isemayo kuwa mwenye hatia huadhibiwa kufungwa jela miezi sita hadi mwaka mmoja pamoja na faini ya frw miliyoni moja hadi frw miliyoni 5.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top