DINI

Rwanda:Wanyama wa bei miliyoni frw 410 kusadakwa kwenye sherehe ya Eid al-Adha

Waislamu nchini Rwanda leo wamesadaka ng’ombe 800 na kondoo 200 wenye bei ya miliyoni frw410 ili kujiunga na wenzao dunia nzima kwa kusherekea sikukuu ya sadaka yaani  Eid al-Adha.

Waislamu wakisali

Spika wa dini la kisilamu nchini Rwanda,Sheikh Musa Sindayigaya ametangaza kupitia viombo vya habari kuwa sherehe ya mwaka huu ni ya kuwahamasisha waislamu kuwa karibu na Allah,kupenda majirani na kuendelea kufuata tabia na maadili ya kisilamu.

Ameongeza kuwa desimali tatu moja za mnyama aliyesadakwa zitabaki katika familia zinzobaki zipatiwe mafukara.

Mbali na kusadaka kuna sala kwa waisilamu wote kwenye sikukuu hii.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top