kwamamaza 7

Rwanda:Wafanyabiashara wa viazi walalamikia adhabu za serikali

0

Wafanyabiashra wa viazi  wameweka wzi kutofuarahia uamuzi wa kulipa faini ya frw elfu 500 kwa kila gari mwa  magari 15 yaliyokamatwa jana yakibeba viazi kutoka mkoa wa kaskazini na mgharibi, kwa kushtakiwa kuuza viazi kinyume na sheria.

Mmoja wao Clementine Icyitegetse amesema kuwa hawakujua kuwa wanauza viazi kinyume na sheria kwa kuwa tangu zamani walizoea kuuza viazi kupitia soko la ‘Giti cy’inyoni’ na kuwa hawajui soko la ‘Nzove’ ambalo serikali inawambia kutumia.

Mwenzake machozi yakimdondoka ametangazia VOA kwamba hili ni utesaji kwa kuwa gari la viazi halina bei hata ya frw 500.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hivi ni utesaji wa k,ni ukiukaji kutoka serikali”amesema.

Waziri wa baishara na viwanda,Vincent Munyeshyaka amesema kuwa walioadhibiwa ni wale ambao wanakiuka kanuni za ufanyabiashara wa viazi zilizoanzishwa ili biashara hii iendelee vizuri.

Kwa upande wa wachuuzi wamesema kuwa hawana fuuraha kufuatia adhabu hizi na kuwa wakazi hawana haki kwa mazao yao na kupendekeza kupatiwa haki kamili kumiliki mazao yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,wakulima  na wafanyabiashra ya viazi  wameka hadharani kuwa wana wasiwasi za kuwa benki zitauza mali zao kwa mnada kulingana na hasara wanayopata katika sekta ya kilimo hasa viazi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.