Connect with us

HABARI

Rwanda:Viongozi zaidi 20 wameaga kazi kwa mara moja

Published

on

[ad id=”72″]

Uongozi wa wilaya ya Busegesera husema hata kama viongozi wengi wameaga kazi zao, uongozi haujui ni nini inasukuma kuacha kazi.

Taarifa kutoka katika wilaya ya Bugesera husema kama viongozi wa viini (cellules) 20, wahusika na kilimo 10, wanaohusika na uhusiano mwema 5 wameacha kazi zao.

Emmanuel Nsanzumuhire kiongozi wa wilaya ya Bugesera yeye amesema kwamba hesabu ya walio acha kazi na wengine ambao wanaandika wakiomba kuaga kazi huendelea kubalika muda kwa muda na asema tena kwamba hawawezi waza kile ambacho kinawasukuma kuacha kazi kama vile husema izubarirashe.

Kuacha kazi kwa hao inafuatana na wengine ambao waliacha kazi zao mwaka jana sehemu tofauti za nchi pakiwemo viongozi wa kata.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *