HABARI MPYA

Rwanda:Utafiti wa shilika la GRIDHI waweka wazi kutokuwa sheria husika na vituo vya  kufunga watoto wa mitaani

Utafiti wa shilika la haki na maendeleo ya wanadamu katika maziwa makuu (GRIHD) umeonyesha kwamba hakuna sheria za kufuatilia husika na mahali mbalimbali nchini wanakofungiwa watoto wa mitaani.

Watafiti wameleza kwamba hakuna sheria husika za kuingia ama kuondoka katika vituo hivi.

Kiongozi makamu wa shilika hili,Vestine Umulisa ameleza changamoto na wasiawasi walizozikuta katika vituo hivi zikiwemo uhaba wa sheria husika.

 Hili ndilo chanzo cha mashtaka ya baadhi ya Wanyarwanda na mashilika ya kimataifa ya haki za binadamu kuwa haki za watoto wa mitaani zinakiukiwa katika vituo hivi”ameleza Vestine.

Mmoja mwa waliofungiwa katika vituo hivi ametangazia VOA kuwa kufungiwa katika vituo hivi ni hatari kwa maisha ya bindadamu. 

Mkurugenzi wa vituo hivi,Aime Bosenibamwe amekana matokeo ya utafiti huu  kwa kueleza kwamba kuna sheria zilizotolewa na rais,waziri wa mambo ya jamii husika na vituo hivi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top