HABARI MPYA

Rwanda:Upelelezi husika na wakurugenzi wa bodi za serikali 30 wanaotuhumiwa rushwa waendelea

Mwendesha mashataka mkuu,Jean Bosco Mutiganda ameweka hadaharani kwamba ofisi yake inafanya upelelezi kuhusu wakurugenzi wa bodi 30 za seriakli wanaotuhumiwa rushwa,ubadhirifu na usimamizi mbaya wa fedha za umma.

Kulingana na taarifa za The NewTimes,Mutangana ameleza kuwa upelelezi huu unafanyika kwa kutegemea uamuzi husika na ripoti ya mkaguzi mkuu wa fedha za umma ya 2016/2017

Mwendesha mashtaka mkuu ameongeza kwamba upelelezi huu haumaanishi kuwa matatizo yote yatatatuliwa mahaakamani baali ni kukusanya data za msingi kwa yatakayofuata baada ya upelelezi.

Amesisitiza kuwa wanajianda vilivyo kushirikiana na polisi ya ulimwengu,INTERPOL kuhusu viongozi wanaoficha fedha zao katika benki za ugenini.

Haya ni baada ya kuwakamata wakurugenzi wa bodi kuu ya maji(WASAC) na wa bodi kuu ya nguvu (EDCL )kwa kuwashtaki ubadhirifu wa mali ya umma na kuletea serikali hasara.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top