HABARI

Rwanda:Ukosefu wa ajira kwa vijana wafika kiwango cha 21%

Matokeo ya leo ya bodi kuu ya takwimu,leo yamedhihirisha kuwa uhaba wa ajira kwa vijana nchini Rwanda umefika kiwango cha 21%.

Pia takwimu hizi zinaonyesha kuwa baadhi ya wakazi wa nchi,miliyoni 6.7 wana umri wa kufanya kazi yaani juu ya miaka 16.

Taarifa za The NewTimes zinasema kwamba kwa  ujumla watu 606,997 hawana kazi tangu mwezi wa Februari.

Utafiti huu ni ushirikiano wa bodi kuu ya takwimu na wizara ya ya mambo ya kijamii na ajira.

Ukosefu wa ajira nchini ni 16.7%

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top