HABARI MPYA

Rwanda:Tanuru la mawazo lasakata mitandao baada ya katibu hali  kuwatukanana watangazaji

Watangazaji nchini Rwanda kupitia mitandao ya kijamii hasa twitter wameonyesha kutofurahia maneno yake katibu hali kwa wajibu wa katiba na sheria,Evode Uwizeyimana kuwaita ‘hohehahe’ alipokuwa bungeni tarehe 28 Novemba 2017.

Baadhi ya watangazaji wakiwemo Fred Muvunyi aliyewahi kuongoza taasisi ya watangazaji huru,Fred Muvunyi na wengine kadhalika wamejibu  wakionyesha kutofurahia maneno yake.

Wengi mwa waliotumia twitter wamesema:

Hii si mala ya kwanza watu kulalamikia maneno yake,aliwahi kumuudhi Askofu Syliverien Nzakamwita.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top