HABARI

Rwanda:Serikali yasadia familia 900 zilizoathirika kufuatia mvua kali wilayani Rubavu

Serikali imetoa msaada wa msingi wa frw miliyoni moja na elfu mia tatu kwa familia 900 zilizoathirika baada ya mvu a kali kunyesha katika tarafa ya nyundo,Migeshi na Rugerero wilayani Rubavu,Magharibi ya Rwanda.

Waziri wa wakimbizi na majanga(MIDIMAR),Jeanne d’Arc De Bonheur ametangaza kwamba serikali imetoa huu msaada ni  wa msingi kwa kuwa mengi yaliharibika na kuwa kunatarajiwa kuanzisha mikakati ya kujikinga janga hili kupitia watalaamu.

“Huu ni msaada wa msingi kama mlivyoona,tutaendelea kufanya ufuatiliaji wa jambo hili kwa kutoa vyakula na mengine kwa kuungana mkono na wizara nyingine”.

Pengine Shilika la Msaraba mwekundu limetoa msaada sawa na frw miliyoni 15 kwa familia 300

Afisa wa Msaraba mwekundu kwa wajibu wa majanga nchini Rwanda,Angelique Mulungi ameeleza“Msaada wetu umeundwa na vifaa vya nyumbani kama vile masufuria,sabuni na mengine.

Wizara ya majanga na wakimbizi imetangaza kwamba mv mvua kali iliyonysha juma pili ilitokomeza nyumba 26 na kuharibu 924 pamoja na vyooni 254 na mazao ya wakazi.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top