HABARI

Rwanda:Serikali mpya karibu kukaa ikuluni

Rais Paul Kagame alikula kiapo tarehe 18 Agosti 2017 yaani kunabaki siku tatu tu ili amuchague waziri mkuu kwenye mamlaka mpya.Haya ni kulingana na katiba ya nchi, makala116 inayoeleza kwamba rais humchagua waziri mkuu baada ya siku 15 kula kiapo.

Pamoja na hayo,Katiba inaeleza kwamba waziri mkuu aliyechaguliwa anamshauru rais aliyechaaguliwa kuchagua mawaziri wengine wakati wa siku 15 tu.

Baada ya uhuru wa Rwanda tarehe mosi Julai 1962 mwanamke mmoja,Agathe Uwilingiyimana(18 Julai 1993 hadi 7 Aprili 1994) ndiye aliyeweza kuchaguliwa kama waziri mkuu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top