BURURUDANI

Rwanda:Rais Kagame anzisha rasmi uwanja wa kisasa wa kriketi nchini

Rais Kagame jana amefungua rasmi uwanja wa kisasa wa mchezo wa kriketi eneo la Gahanga,mashariki mwa mjini Kigali.

Uwanja wa kriketi ulioanzishwa

Pamoja na wageni kutoka sehemu mbalimbali za dunia, Rais Paul Kagame ameanzisha kiwanja hiki cha bei miliyoni moja ya pound kwenye 2.5ha.

Mradi wa kujenga uwanja huu ulidumu mwaka mzima,na ni kwa msaada wa Wanyarwanda na watu wa ugeni kupitia wizara ya burudani na mila kuweza kutimiza jambo hili la kujivunia.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top