Connect with us

DINI

Rwanda:Mwinjili aeleza alivyogoma kujiunga na makundi ya washiriki wa Illuminati

Published

on

Mwinjili Antoine Rutayisire ameleza alivyokata ombi la winjili wenzake la kujiunga na washiriki wa makundi husika na kundi la Illuminati.

Mwinjili Antoine Rutayisire

Mwinjili huyu amehoji kuwa kuna makundi kadhaa mjini Kigali yakiwemo Rosicrucians,Mahikari na freemasons waliojaribu kumshawishi kujiunga nao miaka iliyopita.

Amesema”Waliniambia kuwa mimi ni mhenga,kuja na ujifunze mambo yetu upate nguvu nyingi”.

Mwinjili Rutayisire ameongeza kwamba yeye aliwajibu kuwa yeye hahitaji nguvu nyingine kwa kuwa anatosheka na zake.

Mwinjili Antoine Rutayisire amethibitisha kwamba kuna winjili marafiki zake wanaoshiriki katika makundi haya na kuwa wanahudhuria mikutano mbali mbali mjini Kigali katika hoteli mbalimbali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *