kwamamaza 7

Rwanda:Mshitakiwa wa uhalifu wa mauaji ya kimbali ahukumiwa kufungwa maisha jela

0

Mahakama ya kuhukumu uhalifu wa kimataifa tarehe 29 Disemba 2017 imehukumu kumfunga maisha jela mshitakiwa wa mauaji ya kimbali Emmanuel Mbarushimana.

Emmanuel Mbarushimana amehukumiwa kuwa na hatia ya kufanya mauaji ya kimbali,kushirikiana na wengine katika mauaji ya kimbali,usaliti wenye lengo la kufanya mauaji ya kimbali,mauaji hasa kwenye mlima wa Kabuye,eneo la Muganza, Butare,kusini mwa nchi kati ya tarehe 21 na 25 Aprili 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya hukumu,Emmanuel Mbarushimana amepiga rufaa.

Bw Emmanuel Mbarushimana alikuwa mwalimu kwenye shule la msingi la Dahwe,Butare,kusini mwa nchi, alitumwa nchini Rwanda kutoka Danmark mwaka 2014 baada ya mahakama kupiga marufuku ombi lake la kuhukumiwa nchini Danmark badala ya kutumwa nchini Rwanda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.