HABARI

Rwanda:Mgombea aliyeshindwa uchaguzi wa rais kuwania nafasi ya mbunge

Baada ya kushindwa uchaguzi wa rais nchini Rwanda,Bw Philippe Mpayimana ametangaza kwamba inawezekana tena kuwania kwenye uchaguzi wa wabunge.

Mpayimana kupitia tangazo lake amesema kuwa angali tayari kuwania nafasi bungeni mwaka ujao baada ya kuona alivyochaguliwa kwa wingi  na watu wa ugenini hasa Ufaransa waliomchagua zaidi ya 5%.

Nitafanya juu chini ili pasiwe Mnyarwanda kwa jina la mkimbizi”ametangaza Philippe.

Bw Phillippe Mpayimana alipata nafasi ya pili kwenye uchaguzi wa rais uliotokea tarehe 4 Agosti 2017 akiwa na kura 0.73%

Kwa upande mwingine,Tume ya Uchaguzi nchini haijatangaza bado siku au mwezi ambao kutatokea uchaguzi wa wabunge.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top