HABARI MPYA

Rwanda:Mashtaka husika na ukiuakaji wa haki za binadamu yaliongezeka

Tume ya kutetea haki za binadamu nchini imetangaza kuwa mashtaka ya ukiukaji wa haki za binadamu yameongezeka kulingana na miaka iliopita.

Mkurugenzi wa tume hii,Madeleine Nirere ameleza kuwa mwaka huu walichambua mashtaka 2174 badala ya 2144 ya mwaka uliopita.

Ameleza kuwa mengi mwa mashtaka haya ni kama yale husika na haki za mali,kubaka,elimu na mengine na kuongeza kuwa walichunguza mambo mbalimbali yakiwemo viwanda,kambi za wakimbizi,magereza na kuona kwamba haki za binadamu zinafuatiliwa vilivyo.

Pamoja na haya,shilika mbalimbali zikiwemo HRW,GRIDHI zilitoa ripoti zikisema kuwa kuna ukuikaji wa haki za binadamu nchini Rwanda hasa wapinzani wa serikali,watoto wa mitaani na wizi.

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top