HABARI MPYA

Rwanda:Kutokamatwa kwa watuhumiwa wakubwa wa mauaji ya kimbali yaweza kuwa ni nia ya nchi waishimo

Mahakama ya kimataifa kwa Rwanda(ICTR) ilihukumu wahalifu 82 lakini wahalifu 8 ambao ni wakubwa wakiwemo Felicien Kabuga,Protais Mpiranya,Augustin Bizimana,Fulgence Kayishema,Charles Sikubwabo,Aloys Ndimbati,Ryandikayo na Pheneas Munyarugarama hawajakkamatwa hawajakamatwa ila sikukosekana ni nia chache ya nchi walizokimbilia.

Mambo yataendelea hivi wakati ambapo hakuna ushirikiano kati ya serikali na mahakama iliyochukua nafasi ya ICTR ambayo ni MICT,isiyokuwa na polisi wala wanacjeshi wa kukamata watuhumiwa hawa wa mauaji ya kimbali ddhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Kama inavyonekana kwenye tovuti ya kundi la kukusanya habari husika na watuhumiwa hawa,si rahisi kukamata watu hawa kwa kuwa wanatumia ujanja tofauti kama vile kuficha vitambulisho,kujificha pande zote za Afrika hasa maeneo ya DR Congo ambako si rahisi kufika.

Kutatua swala hili haina budi ushirikiano kati ya serikali na mahakama ya MICT.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top