HABARI MPYA

Rwanda:Kunaonekana uhaba wa vyooni hata majengo ya serikali

Familia nyingi zinaonekana kutokuwa na vyooni, pia baadhi ya majengo ya serikali kama soko la Butaro yana tatizo hili hata kama aliyekuwa waziri mkuu,Anastase Murekezi mwezi wa Aprili alitoa amri ya kujenga vyooni wakati wa miezi mitatu.

Chooni cha soko la Nyacyonga

Tatizo hili  limendelea kuonekana kinyume na mikakati waliyoiweka viongozi mbalimbali wakiwemo katibu hali wa wizara ya mambo ya kijamii,Dkt.Alivera Mukabaramba,waziri Murekezi na Gavana JMV Gatabazi.

Wakazi wa wilaya nyingi zikwemo Gicumbi ambapo kuna familia 1000 zisizokuwa na vyooni,Rwamagana ni 100 katika kijiji kimoja cya Nkomangwa.

La kushangaza ni wilaya za mji wa Kigali,Nyarugenge na Gasabo ambapo soko la Nyacyonga lina chooni kikukuu pia chenye uchafu.

Pamoja na haya,wilaya tatu baadhi ya tano za mkoa wa kaskazini zenye tatizo hili zinaonekana pia kwenye orodha ya wilaya fukara na utapia mlo kama alivyoeleza gavana wa mkoa wa kaskazini,JMV Gatabazi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top