HABARI

Rwanda:Kiongozi wa upinzani apinga matumizi ya wanajeshi kwa kufukuza wauzaji marufuku

Kiongozi wa chama kidemokrasia na kulinda mazingira(DGPR) nchini Rwanda,Dr.Frank Habineza ameleza kwamba haifai kutumia wanajeshi kwa kuwafukuza wauzaji marufuku.

Dr.Frank Habineza ametangazia Bwiza.com kuwa kutatua tatizo la wauzaji marufuku ni kazi ya polisi siyo ya wanajeshi,amesema”Hatuna furaha ya matumizi ya nguvu nyingi za kufukuza wauzaji marufuku hasa kutumia wanajeshi”.

Kiongozi huyu amesisitiza kwamba wanajeshi ni wakulinda usalama wa mipaka kwa maadui na wauzaji marufuku siyo maadui.

Pamoja na hayo,Dr.Frank Habineza ametoa ushauri wa kuongeza nguvu na uwezo wa polisi ili iweze kukanya kazi yake vilivyo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top