Connect with us

HABARI MPYA

Rwanda:Diane Rwigara na watu 5 wa familia yake watoweka

Published

on

Habari zinazozunguka kwenye mtandao wa twitter zinasema kwamba Diane Shima Rwigara na watu 5 wa familia yake wametoweka kuanzia kesho saa tanu asubuhi.

Haya yamesisitizwa na kaka yake Diane Rwigara,Arstide Rwigara anayeishi nchini marekani akisema kuwa nambari zao zote za simu kuanzia kesho hazipatikani na hata za mtandao wa watsupp.

Pia,mtangazaji wa RFI,Sonia Rolley ametangaza kuwa Arstide amemuambia kwamba ana hofu yatakayofuata baada ya watu wa familia yake kutoweka ghafla.

Bwiza.com imempigia simu spika wa polisi mjini Kigali,SP Emmanuel Hitayezu na kusema kwamba hajui habari hizo na kuwa atatafuta kuhusu haya kisha atangaze habari husika.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

@Bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *