HABARI MPYA

Rwanda:Aliyekuwa waziri wa afya aanza kuigiza katika filamu

Aliyekuwa waziri wa afya,Dkt.Agnes Binagwaho ameanza kuigiza katika filamu kwa jina la ‘Bending the arc’.

Taarifa za npr.org zinasema kuwa hili silo jambo la kushangaza kwa mwanamke huyu kwa kuwa kabla ya kuwa waziri wa afya, aliwahi kumfungiana chumbani daktari mwenzake baada ya kumkuta akipata lepe wakati ambapo kuna mtoto mahututi chumbani kingine cha uchunguzi anayesubiri msaada.

Kisha Binagwaho alifanya uchunguzi wa ugonjwa wa mtoto huyu mwenyewe.

Akizungumza kuhusu hili alisema”Nilikuwa na hatia ya kumfungiana lakini nilimnusuru mtoto aliyeweza kuja akafariki”.

Katika filamu hii,Dkt.Binagwaho anaigiza kwa kueleza yoyote ambayo yanaenda goigoi kama vile akiongea kuhusu namna ambavyo kupata msaada wa uganga kwa mahali penye ufukara anaeleza”Watu wanakufa ndugu yangu”.

Dkt.Binagwaho alituzwa $100,000 kutoka shule la kufundisha mambo ya afya la chuo cha Washington mwaka 2015 kwa mchango wake wa kubadilisha hali ya afya nchini Rwanda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top