Rwanda imewasilisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuingia katika muungano huu.

Muungano wa EAC kwa sasa unaundwa na nchi sita ambazo ni:  Rwanda, Tanzania, Uganda, South Sudan, Kenya na Burundi.

Waziri Makamu wa Mambo ya Nje husika na EAC, Olivier Nduhungirehe kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika “ Barua ilipokewa na kuwasilishwa kwa Katibu wa tarehe 13 Juni.”

Hilo, ni baada ya Rais wa DRC, Felix Tshisekedi Tshilombo kumuandikia mwenzake wa Rwanda, Kagame akiomba kuingia katika EAC.

Somalia pia, iliomba hili lakini haijakubaliwa bado.

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.