kwamamaza 7

Rwanda yatia saini sheria za kutuma wahalifu

0

Bunge la Rwanda jana limetia saini kwenye sheria  za makubaliano ya  kutumiana wahalifu kati yas nchi mbalimbali za Afrika.

Waziri wa katiba na sheria nyingine,Evode Uwizeyimana ameleeza kwamba Rwanda ilisaini mikataba ya kutuma wahalifu na kuwa kuna tumaini kwamba hakuna sababu yoyote itakayozuia utekelezaji wa jambo hili kwa nchi zilizosaini mkataba huu.

Evode Uwizeyimana”Mkataba huu utatusaidia mno kwa jambo la kutuma wahalifu,hakikuwa rahisi kwa nchi kama Zambia na Malawi kwa kuwa haukuweko mkataba huu(…)”.

Pia,ameleza kuwa utekelezaji wa mkataba  huu utatokana na juhudi za kisiasa kwa kuwa kuna nchi ambazo ziligoma kusaini mkataba huu kama vile Ufaransa.

Waziri Uwizeyimana ameongeza kulitiliwa saini kati ya Jamhuri ya Kongo,Ethiopia na kuwa kuna mazungumzo na Msumbiji na Zimbabwe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwendeshamashtaka ametangazia VOA kwamba baadhi ya hati za kukamatwa 800 zilizotumwa juu ya nusu yake zinahusu nchi za Afrika hususani DR Congo na Uganda (400).

Mwendeshamashtaka ameongeza kuwa kunatuhumiwa  kuwa watuhumiwa wa mauaji kimbali dhidi ya Tutsi  1994 wengi wanaishi nchini Msumbiji na Malawi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.