BIASHARA

Rwanda yapiga hatua kiuchumi barani Afrika na kuporomoka kwenye orodha ya dunia

Ripoti ya Global Competitiveness 2017/2018 inaonyesha kuwa Rwanda ina nafasi ya pili  kwenye orodha ya nchi zilizopiga hatua kiuchumi barani Afrika na kuwa iliporomoka kwenye orodha ya dunia.

Ripoti hii inaonyesha kwamba Visiwa vya Mauritius vinajitokeza kwenye nafasi ya kwanza na kuwa na nafasi ya 45 duniani.

Kwa Afrika ya mashariki kuna Rwanda ina nafasi ya kwanza, 58 duniani na Kenya 91, Uganda 113,Burundi 129.

Rwanda ilipolomoka nafasi sita duniani kwa ajili ya huduma mbaya husika na uganga na mifumo ya kazi za msingi na kupanda kwa bei ya vyakula kwa kiwango cha 7.3% kwa mujibu wa ripoti hii.

Ripoti hii ilifanyiwa nchi 137 Rwanda imechukua nafasi ya Afrika kusini.

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top