HABARI MPYA

Rwanda yakana mpango wa kumsaidia Gen.Kale Kayihura kuchukua nafasi ya Rais Museveni

Serikali ya Rwanda kupitia barozi wake nchini Uganda,Major(Rtd) Frank Mugambage imeleza kwamba haina uhusiano wowote na madai ya kuwa inamsaidia mkuu wa polisi nchini Uganda,IGP Kale Kayihura kuchukua nfasi ya Rais Yoweli Kaguta Museveni.

Barozi wa Rwanda nchini Uganda,Frank Mugambage

Baozi Mugambage ameleza kwamba haya ni madai ya maadui ya Kale Kayihura na kuwa hili ni jambo linalostahili kueleweka.

Akizungumza na Chimpreports,Barozi Mugambage amendelea kufafanua kwamba husiano la kikabila ni bure ila ni ndoto za mchana.

Pia,Mugambage amesema kuwa jambo murua nchini Rwanda ni maendeleo na kuwa itaendela kuungana mkono na majirani ili kutimiza lengo kwa ujumla katika usalama na miundo mbinu.

Barozi huyu amethibitisha kwa kueleza kwamba Rwanda haiwezi kujihusisha na mtu atakayeongoza Uganda kwani hili ni jambo linalowahusu raia wa Uganda wenyewe.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top